TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

Mocumentary

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
806
Reaction score
2,049
Mtangazaji wa Radio One naITV Agnes Almas afariki dunia. Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali Pema Peponi [emoji1431]

R.I.P AGNES ALMASY.



UPDATE:
Mtangazaji wa ITV, Agnes Almas amefariki dunia ghafla mchana wa leo akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam baada ya kujisikia vibaya alipokuwa nyumbani kwake akijiandaa kwenda kazini.

====

Taarifa fupi ya ratiba ya mazishi ya mpendwa wetu Agnes Almasy

Kesho tar 5 Sep 2020 majira ya saa 4 mpaka 5 asubuhi mwili wa marehemu utafika ktk kanisa la St Nicolas Anglikana lililopo jirani na kituo cha Amana Hospitali Ilala jijini Dar es salaam ibada itaambatana na kuuaga mwili mpaka saa 8 mchana baada ya hapo safari ya kuelekea mkoani Tanga kwa mazishi itaanza.

Mazishi yatafanyika tar 6 sep 2020 hukoMkoani Tanga tutaendelea kiwajuza zaidi mambo yanayo endelea.
 
Habari zilotumwa punde na ukurasa maalumu wa ITV unaripoti kifo cha mfanyakazi wao Agnes Almasi Mungu ailaze roho yake panapostahili
 
Back
Top Bottom