Mtangazaji wa TV ya Taifa ya Russia amchimba mkwara mzito Boris Johnson

Mtangazaji wa TV ya Taifa ya Russia amchimba mkwara mzito Boris Johnson

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
One of Vladimir Putin’s favorite propagandists has taunted Boris Johnson to declare war on Russia while mocking him for having ‘no hint of macho'

True to form, he began by falsely claiming that Mr Johnson ‘says he’ll deliver tanks [to Ukraine] in August’.

The UK has donated a small number of armored vehicles but there are no plans for British tanks to be sent to the warzone.

Solovyov continued: ‘I’ve got a question: Why are you so timid, Boris? Go on, declare war on Russia.

‘Go on, throw all your giant British army, your planes, your rusty submarines, all your nuclear ammunition – go on, throw them at Russia.

‘The fact is that you are actually scared.

He also repeated baseless claims that two British captured while serving in the Ukrainian military and sentenced to death by Kremlin-controlled courts were ‘mercenaries’ acting under UK government orders.

‘Go on, throw all your giant British army, your planes, your rusty submarines, all your nuclear ammunition – go on, throw them at Russia.
 
Jamaa huyu ni matata Sana, amungunyi maneno hata kidogo na yupo karibu na inner circle ya Putin - alitumika hapo kuwapasha ukweli utawala wa 10 Downing Street kwamba wawe makini sana katika nyenendo zao za kuchochea vita ndani ya Ukraine.

Mimi niliwahi kusikia Uongozi wa UK ukijitapa kwamba watawapelekea silaha nzito Ukraine ikiwemo vifaru na anti-aircraft batteries - nashangaa kuona wanageuza kibao kwamba hawa kuwahi kutishia Russia kwamba atawapatia jeshi la Zelensky vifaru - waongo sana jamaa hawa,wame badirisha kauli baada ya kuona Putin means business na Uingereza haipo mbali sana kutoka Klinigrad, Putin vile vile ana uwezo sana wa kutuma submarine drones (Pseidon) laden with 200MT thermonuclear pay load each zikalipuliwa kwenye Bahari karibu na pwani ya kisiwa cha Uingereza mlipuko uka-generate Tsunami tidal wave ya Urefu wa kufikia mita 600 kwa kwenda juu matokeo yake zatazamisha kisiwa chote cha Uingereza, raia wote wakafa maji kwa kuzama, vile vile na miundombinu zote kuharibiwa in terms of milliseconds pia pwani yote ya Uingereza ikageuzwa kuwa Radio Active for thousand years!

Remnant colonial mentality ya Viongozi wa Waingereza unawafanya wapumbazike kwa kudhani wao ni mini super power wana uwezo waku-play Russians on their little finger!! I wish they knew - Putin atawapa cha mtema kuni mpaka wajute kuzaliwa.
 
Jamaa huyu ni matata Sana, amungunyi maneno hata kidogo na yupo karibu na inner circle ya Putin - alitumika hapo kuwapasha ukweli utawala wa 10 Downing Street kwamba wawe makini sana katika nyenendo zao za kuchochea vita ndani ya Ukraine.

Mimi niliwahi kusikia Uongozi wa UK ukijitapa kwamba watawapelekea silaha nzito Ukraine ikiwemo vifaru na anti-aircraft batteries - nashangaa kuona wanageuza kibao kwamba hawa kuwahi kutishia Russia kwamba atawapatia jeshi la Zelensky vifaru - waongo sana jamaa hawa,wame badirisha kauli baada ya kuona Putin means business na Uingereza haipo mbali sana kutoka Klinigrad, Putin vile vile ana uwezo sana wa kutuma submarine drones (Pseidon) laden with 200MT thermonuclear pay load each zikalipuliwa kwenye Bahari karibu na pwani ya kisiwa cha Uingereza mlipuko uka-generate Tsunami tidal wave ya Urefu wa kufikia mita 600 kwa kwenda juu matokeo yake zatazamisha kisiwa chote cha Uingereza, raia wote wakafa maji kwa kuzama, vile vile na miundombinu zote kuharibiwa in terms of milliseconds pia pwani yote ya Uingereza ikageuzwa kuwa Radio Active for thousand years!!

Remnant colonial mentality ya Viongozi wa Waingereza unawafanya wapumbazike kwa kudhani wao ni mini super power wana uwezo play Russians on their little finger!! I wish they knew - watapewa cha mtema kuni mpaka wajute kuzaliwa.
Hapa wanatapatapa hakuna kitu wanaweza kufanya na misaada wanayotuma inaishia mikononi mwa Russia, au kuharibiwa kwenye ma_Anga yakiwa yamehifadhiwa
 
Hapa wanatapatapa hakuna kitu wanaweza kufanya na misaada wanayotuma inaishia mikononi mwa Russia, au kuharibiwa kwenye ma_Anga yakiwa yamehifadhiwa
Mkuu,jana nilicheka sana nilipo soma bandiko la wizara ya ulinzi ya Russia ikiwashukuru Wafaransa kwa kuizawadia Urusi on a silver plate silaha nzito (Howitzer) type ya Ceasar - Warusi walikuwa wanawakejeri Wafaransa baada ya makamando wa Urusi kuvamia kikosi cha mizinga cha jeshi la Ukraine kilicho kuwa mbioni kuvurumisha makombora kwa kutumia mzinga huo wa Ufaransa - wanajeshi wa Ukraine walisepa na kuuacha mzinga full loaded pamoja na extra shells - Ufaransa ilipo pata habari kwamba mzinga wao umetekwa kizembe walilahumu sana jeshi la Ukraine pamoja na Zelensky.

Zelensky alipo ambiwa lawama za Wafaransa, Zelensky akayajia juu mataifa ya Ulaya pamoja na Amerika kwamba wanampatia Zelensky silaha zilizo tumika ambazo hazina ubora wowote, akadai kwamba ukipiga round tatu/nne mzinga una-jam unapoteza muda kukorokochoa mizinga mpaka unakutwa na suicidal drones za Urusi zinalipuwa kikosi kizima pamoja na Howitzer zenu!!

Bottom line is: kwa mtifuano wa wao kwa wao (EU,USA na Zelensky) mpaka Vita iishe tutashuhudia mengi kutoka kwa viongozi wa Ulaya na Merikani watalahumiana mpaka basi.
 
Mkuu,jana nilicheka sana nilipo soma bandiko la wizara ya ulinzi ya Russia ikiwashukuru Wafaransa kwa kuizawadia Urusi on a silver plate silaha nzito (Howitzer) type ya Ceasar - Warusi walikuwa wanawakejeri Wafaransa baada ya makamando wa Urusi kuvamia kikosi cha mizinga cha jeshi la Ukraine kilicho kuwa mbioni kuvurumisha makombora kwa kutumia mzinga huo wa Ufaransa - wanajeshi wa Ukraine walisepa na kuuacha mzinga full loaded pamoja na extra shells - Ufaransa ilipo pata habari kwamba mzinga wao umetekwa kizembe walilahumu sana jeshi la Ukraine pamoja na Zelensky. Zelensky alipo ambiwa lawama za Wafaransa Zelensky akayajia juu mataifa ya Ulaya pamoja na Amerika kwamba wanampatia Zelensky silaha zilizo tumika ambazo hazina ubora wowote ukipiga round tatu nne mzinga una-jam unapoteza muda kukarabati mzinga mpaka unakutwa na suicidal drones za Urusi unalipuliwa kikosi kizima pamoja na Howitzer zenu!!

Bottom line is: kwa mtifuano wao huu mpaka Vita iishe tutashuhudia mengi kutoka kwa viongozi wa Ulaya na Ulaya watalahumiana mpaka basi.
Haka kajamaa akili zimejam saivi ni mwendo wa kulalamika tu
 
Haka kajamaa akili zimejam saivi ni mwendo wa kulalamika tu
Mkuu,wewe unakaona je? macho mekundu anazungumza in mono-tone na maigizo one gets an impression kwamba ni teja aliye kubuhu, binadamu mwenye traits kama hizo ni hatari kuongoza nchi - naweza kuwa manipulate akafanya mambo hatarishi kwa usalama wa Dunia, oh yes,akawa chanzo cha ku-trigger WW3 unless jeshi la Ukraine limuondoe madarakani fasta for the sake of WORLD PEACE - my opinion.
 
Mkuu,jana nilicheka sana nilipo soma bandiko la wizara ya ulinzi ya Russia ikiwashukuru Wafaransa kwa kuizawadia Urusi on a silver plate silaha nzito (Howitzer) type ya Ceasar - Warusi walikuwa wanawakejeri Wafaransa baada ya makamando wa Urusi kuvamia kikosi cha mizinga cha jeshi la Ukraine kilicho kuwa mbioni kuvurumisha makombora kwa kutumia mzinga huo wa Ufaransa - wanajeshi wa Ukraine walisepa na kuuacha mzinga full loaded pamoja na extra shells - Ufaransa ilipo pata habari kwamba mzinga wao umetekwa kizembe walilahumu sana jeshi la Ukraine pamoja na Zelensky.

Zelensky alipo ambiwa lawama za Wafaransa, Zelensky akayajia juu mataifa ya Ulaya pamoja na Amerika kwamba wanampatia Zelensky silaha zilizo tumika ambazo hazina ubora wowote, akadai kwamba ukipiga round tatu/nne mzinga una-jam unapoteza muda kukorokochoa mizinga mpaka unakutwa na suicidal drones za Urusi zinalipuwa kikosi kizima pamoja na Howitzer zenu!!

Bottom line is: kwa mtifuano wa wao kwa wao (EU,USA na Zelensky) mpaka Vita iishe tutashuhudia mengi kutoka kwa viongozi wa Ulaya na Merikani watalahumiana mpaka basi.
Hizo western countries zinajua zinachofanya wala sio bahati mbaya, wanampa Zelensky silaha ambazo wenyewe wanajua haziwezi kugeuza matokeo.

Angalia ripoti hii US ana supply Howtizers kwa Ukraine ambazo hazina computers kwa ajili ya kuleta effeciency na accuracy, yani anapeleka silaha ila anaondoa vile vitu muhimu kwa ajili ya kuiongezea ile silaha accuracy na efficiency. Sio bahati mbaya ila anatoa hizo cumputer makusudi sasa swali ni kwa nini anazitoa?

Hapo huoni kuna mchezo zelensky anachezewa kwenye hiz silaha anazoomba ila bado anakomaa na vita ambavyo wakubwa wake washampiga chenga ya mwili na silaha wanazompelekea wanazipunguzia uwezo.
20220629_102114.jpg
20220629_102227.jpg
 
Hizo western countries zinajua zinachofanya wala sio bahati mbaya, wanampa Zelensky silaha ambazo wenyewe wanajua haziwezi kugeuza matokeo.

Angalia ripoti hii US ana supply Howtizers kwa Ukraine ambazo hazina computers kwa ajili ya kuleta effeciency na accuracy, yani anapeleka silaha ila anaondoa vile vitu muhimu kwa ajili ya kuiongezea ile silaha accuracy na efficiency. Sio bahati mbaya ila anatoa hizo cumputer makusudi sasa swali ni kwa nini anazitoa?

Hapo huoni kuna mchezo zelensky anachezewa kwenye hiz silaha anazoomba ila bado anakomaa na vita ambavyo wakubwa wake washampiga chenga ya mwili na silaha wanazompelekea wanazipunguzia uwezo.View attachment 2276177View attachment 2276178
Mkuu kuna hili jambo, unapewa silaha mpya.wakati wa vita lini umejifunza kuzitumia?
Ukraine anatumia Russian made warplane, leo ukimpa, eurofigher plane ama F16 hao pilots wamesoma lini kuzitumia? Ndio maana wanaishia kupewa masalia ya silaha ambazo ni retired au za manual operation

NATO wakikupa modern weapons wanapaswa kuja kuziopareti wao na wanaujua mziki wa Russia
 
Back
Top Bottom