Mtangazaji wa kipindi cha Goodmoring cha Wasafi FM Gerald Hando ametaka au kushauri mtandao wa TikTok Tanzania ufungiwe akidai unaleta matatizo ya afya ya akili kwa vijana wengi zaidi.
Amesema vijana sasa wakilala wakiamka wanawaza wapata bando ili waingie TikTok wafanye mambo yao na akikosa bando yupo tayari apoteze heshima na utu wake ili apate bando tu.
Hii imekaaje jamani mbona kuna harakati nyingine hazina afya kabisa. Kama kuna changamoto ni bora wakasema ziweke sawa kuliko kufikia hatua ya kutaka kufungia mtandao husuki.
Maana kwa sasa mitandao hii ya kijamii kiukweli kabisa imekuwa sehemu ya ajira kwa vijana wengi sana so akitokea mtu anaeta hoja kama hii bila shaka vijana wanaweza wakampiga spana nzito kwa hoja yake hiyo.
Hivi karibuni tuliona kuna kampeni ya kutaka kufungiwa kwa mtandao wa X( Twitter) ambayo ilichukuliwa kama ajenda fulani hadi kwenye vyama vya kisiasa na hata upande pia wa baadhi ya viongozi wa dini wakichochea fulani hivi X ufungiwe Tanzania.

Ni upuuzi, changamoto wabongo atujaandaliwa kuishi kwenye dunia ya ushindani. Maudhui ya wabongo "kuonyesha makario", "Kuonyesha maisha feki","Washauri wa ndoa na mapenzi wasiokuwa na vyeti" na ujinga mwingine. Angalia wachina wakike na wakiume; wanatangaza biashara, historia ya nchi yao na vitu vya kiutamaduni. Kwann ufungiwe kwa udhaifu wako we mbongo
Huyu geradi na wenzake wanaoendesha kile kipindi wanajiona ni watu muhimu sana nchi hii wanadhani wanaweza kuinfluence chochote kwa midomo yao. Tiktok ni mtandao useful sana inategemea na mtumiaji
Mtangazaji wa kipindi cha Goodmoring cha Wasafi FM Gerald Hando ametaka au kushauri mtandao wa TikTok Tanzania ufungiwe akidai unaleta matatizo ya afya ya akili kwa vijana wengi zaidi.
Amesema vijana sasa wakilala wakiamka wanawaza wapata bando ili waingie TikTok wafanye mambo yao na akikosa bando yupo tayari apoteze heshima na utu wake ili apate bando tu.
Hii imekaaje jamani mbona kuna harakati nyingine hazina afya kabisa. Kama kuna changamoto ni bora wakasema ziweke sawa kuliko kufikia hatua ya kutaka kufungia mtandao husuki.
Maana kwa sasa mitandao hii ya kijamii kiukweli kabisa imekuwa sehemu ya ajira kwa vijana wengi sana so akitokea mtu anaeta hoja kama hii bila shaka vijana wanaweza wakampiga spana nzito kwa hoja yake hiyo.
Hivi karibuni tuliona kuna kampeni ya kutaka kufungiwa kwa mtandao wa X( Twitter) ambayo ilichukuliwa kama ajenda fulani hadi kwenye vyama vya kisiasa na hata upande pia wa baadhi ya viongozi wa dini wakichochea fulani hivi X ufungiwe Tanzania.
Hii imekaaje jamani mbona kuna harakati nyingine hazina afya kabisa. Kama kuna changamoto ni bora wakasema ziweke sawa kuliko kufikia hatua ya kutaka kufungia mtandao husuki.
Kuna nchi zimepiga marufuku kabisa mtandao huu kama India na hata Somalia na Nepal
Na nchi kama za ulaya na 🇺🇸 wamepiga marufuku baadhi ya watu kutumia kama mashirika ya Umma na maofisi mengi tu ila sio marufuku kwingine
Mtandao wowote ukitaka kujifunza vitu vingi sana na hata kupata elimu ya vitu unapata humo
Wengi wamejifunza maujanja hata ya mapishi ya dunia na hata ujenzi na ufundi
Wengine wamepata fursa nyingi sana huko
Ila kama unataka siku nzima uangalie upumbafu wa vile vicheko hata mtu akitumbukia kwenye msingi kalewa
Basi mtu anahangaika siku nzima kwa ujinga
Huyu geradi na wenzake wanaoendesha kile kipindi wanajiona ni watu muhimu sana nchi hii wanadhani wanaweza kuinfluence chochote kwa midomo yao. Tiktok ni mtandao useful sana inategemea na mtumiaji
ni moja ya mtandao wa ovyo sana, wengi wa wadau wake ni watu walipanguka akili kiaina, binafasi nimechoka kugomabana na mwenza wangu, haelewi kabisa anaweza akasamehe kula hela akaunga bando kwa ajili ya tiktok