Ukiangalia jinsi mashabiki wa yanga wanavyofurahia Ihefu kutoa sare na Prison leo,utakubaliana nami kuwa yanga wanajua kwa uhakika hizi ndizo level zao.
Namna wanavyosherehekea zile goli 5,ni kama wamevunja rekodi ya dunia.
Vijana wangu wa Ihefu niwaambie tu,ipo siku mtarejea kwenye ubora,na watani zenu yanga watajuta kwa mara nyingine.