[emoji2772] effectsUkiangalia jinsi mashabiki wa yanga wanavyofurahia Ihefu kutoa sare na Prison leo,utakubaliana nami kuwa yanga wanajua kwa uhakika hizi ndizo level zao.
Namna wanavyosherehekea zile goli 5,ni kama wamevunja rekodi ya dunia.
Vijana wangu wa Ihefu niwaambie tu,ipo siku mtarejea kwenye ubora,na watani zenu yanga watajuta kwa mara nyingine.
yanga wanapambana na Ihefu ndio maana msemaji wa yanga kila ikicheza Ihefu lazima atupie vineno vinenoTeam inafanyiwa figisu kisa imeifunga yanga that's nonsense.
Sahih MdauUkiangalia jinsi mashabiki wa yanga wanavyofurahia Ihefu kutoa sare na Prison leo,utakubaliana nami kuwa yanga wanajua kwa uhakika hizi ndizo level zao.
Namna wanavyosherehekea zile goli 5,ni kama wamevunja rekodi ya dunia.
Vijana wangu wa Ihefu niwaambie tu,ipo siku mtarejea kwenye ubora,na watani zenu yanga watajuta kwa mara nyingine.
Afadhari tusumbuane na Ihefu kuliko timu tunaipiga [emoji2772]yanga wanapambana na Ihefu ndio maana msemaji wa yanga kila ikicheza Ihefu lazima atupie vineno vineno
KUNA MTU AMEKOMENT KWAMBA NYIE WATOTO MNA RAHA SANAUkiangalia jinsi mashabiki wa yanga wanavyofurahia Ihefu kutoa sare na Prison leo,utakubaliana nami kuwa yanga wanajua kwa uhakika hizi ndizo level zao.
Namna wanavyosherehekea zile goli 5,ni kama wamevunja rekodi ya dunia.
Vijana wangu wa Ihefu niwaambie tu,ipo siku mtarejea kwenye ubora,na watani zenu yanga watajuta kwa mara nyingine.
Huo ni wivu wa mke mkubwa anakaonea wivu ka IhefuBora Ihefu anatuchallenge vizuri kuliko mchumba wetu wa siku zote.