duh!miguu ka banio la ugaliWe Mwenyewe umepauka kama jini kashi kashi
lione koromeo ka ngubitiHuyu wa juu yangu ni mshamba kama katoka kishumundu yani hana hata ka avatar
bichwa ka mbigiriWe Mwenyewe umepauka kama jini kashi kashi
mcheki chogo ka mundunyote nikijamba kwenu radio clouds
miskio ka majani ya mabogaHuku tuki refresh mind na pilikapilika za kusaka tonge tupumzike kwa kutaniana kidogo
Mtanie wa juu yako hadi aombe poo!! [emoji44]
unavaa mishati mikubwa kama unapaaUna bichwa kubwa hadi ukianguka unapiga filimbi ili watu waje kukuinua
Id yako mbaya hivo sipatii picha li uso lakounavaa mishati mikubwa kama unapaa
gym uendi... muone kifua iko ka meza yakuchezea kamaliId yako mbaya hivo sipatii picha li uso lako
Id yako mbaya hivo sipatii picha li uso lako
Yaani alaf yanaumizamengine matusi jamani
Utani ukizidi matusi hufuataYaani alaf yanaumiza
Hakika mkuu matusi yanaumaMatusi hayatakiwi