muone.... ukitembea ka warud nyumASura zenu mbovu mpaka bunge limeomba mpelekwe makumbusho.
twende... twende... ndomana mweus ka tako la idd aminatakaenitania namloga
Sura mbovu ka' daftari la rambirambi.muone.... ukitembea ka warud nyumA
Hahahaaa aaaaaaaaaaaaa ni hataree iseee
Una bichwa kubwa hadi ukianguka unapiga filimbi ili watu waje kukuinuanyie mna comment tuuuuu...
ione kwanza mibichwa mikubwa kutembea mnashindwa
Muone kichwa ka af-keki [emoji23][emoji23]Muone kwanza ndio maana bibi yako aliokota penseli akarudi chekechea
Muone alivyo komaa kisigino hadi akinyaga mahali panajichora mia tano ya KenyaMuone kichwa ka af-keki [emoji23][emoji23]
Ndo maana ukiwa peke ako, huwa unamuwaza mke wa jirani ako... Eti ni mzuriMuone kwanza ndio maana bibi yako aliokota penseli akarudi chekechea
Kwendaaaa! muone kwanza alivyo na pua kama jiwe la kusagia ulezi kipindi cha masika.Ndo maana ukiwa peke ako, huwa unamuwaza mke wa jirani ako... Eti ni mzuri
Wewe ni mnene sana umepiga picha siku ya mwaka mpya mpaka Leo bado wanaiprintKwendaaaa! muone kwanza alivyo na pua kama jiwe la kusagia ulezi kipindi cha masika.
Ndio maana una Kifua kama mlango wa banda la kukuWewe ni mnene sana umepiga picha siku ya mwaka mpya mpaka Leo bado wanaiprint
We ni mshamba sana nimesikia unaweka akiba ili ukapande mountaindewNdio maana una Kifua kama mlango wa banda la kuku
Naskia ki**oo chako kidogo kama karoti ya KiangaziWe ni mshamba sana nimesikia unaweka akiba ili ukapande mountaindew
Miguu kama paka wa mwendokasi