"Mtanikumbuka kwa mazuri, wala si kwa mabaya"

"Mtanikumbuka kwa mazuri, wala si kwa mabaya"

Gaddaf i06

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
1,770
Reaction score
2,841
YAJAYO:

Je! Wewe ni nani?
Unajua kuwa wewe ni nani katika jamii?
Jamii inakutambua kama nani?

-Siku ukifa utakumbukwa kama nani?
-uliefanya nini? na
-kwa faida ya nani?
-ni alama gani itakayokuwa chanzo cha wewe kukumbukwa?
-umepanda mbegu gani itakayoendelea kustawi katika jamii?
-kifo chako kitakuwa na furaha/majonzi kwa jamii?
-nini kitasababisha kifo chako¿¿



Wewe ni nani katika familia?
Inakutegemea/unaitegemea?
-Una mchango gani katika familia?
-Nini hakiwezekani katika familia bila wewe?

Siku ukifa (baba) familia yako itakosa nini?

-itaishi kwa amani/kwa mateso?
-itadumu au itasambaratika?
-itakukumbuka kwa yapi?
-ITAKUENZI KWA YAPI?


Tucheze karata zetu vizuri, kufa kwaja!
 
Back
Top Bottom