Mtanzania aanzisha shirika la ndege/ Diamond launches own airline

Mtanzania aanzisha shirika la ndege/ Diamond launches own airline

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Diamond launches own airline



Video: courtesy of SimuliziNaSauti

N.B
Jambo la kufariji mtanzania kuanzisha shirika la ndege. Ni matumaini mamlaka husika zitaweka mazingira mazuri shirika hili liweze kufanya biashara, kutoa ajira na kulipa kodi .

Pia wawekezaji wa kiTanzania wanaothubutu kuanzisha makampuni ya kibiashara wawekwe karibu na wizara ,mamlaka ili serikali ijifunze jinsi sekta binafsi inavyoweza kutimiza ndoto zao kwa ufanisi mkubwa .

Hatua hii inaonesha kutakuwepo Wasafi Group of Companies siku za usoni kama ilivyo sasa kwa IPP Group, Said Salim Bakhresa Group n.k makampuni mama ya waTanzania waliowekeza ktk biashara mbalimbali

More info :

Diamond Platnumz has launched his airline dubbed 'Wasafi Air.' Yesterday, the singer, together with his WCB signees stepped out at a red carpet event in the airport for the launch of his new baby.

The posters on the carpet were written 'Wasafi Air.' The flight attendants will be wearing purple uniforms with neon green scarves as their cabin crew attire.

Zuchu and Rommy Jones are among the celebrities that accompanied Diamond to the event.

Diamond also shared a photo of an airplane and wrote;

'Leo tunasafiri." (Today we are traveling)

In August, Diamond opened up about his plans to launch the airline.

"I got into music, then opened a record label, a TV station, a radio station, a betting company, and now about to open an airline called Wasafi Air," he told Metro FM's 'The Touch Down'

He went on to say that he had also bought a helicopter which is yet to be shipped to his home country, Tanzania.

"I just bought a helicopter. I bought it a few weeks ago but it takes time. I was told after four weeks, it going to be in Tanzania."

Diamond added that his helicopter will be able to fly at night unlike most of them.

"It's part of the airline. The one that I bought is gonna be the first helicopter in East Africa that can fly at night. Most of them can only fly during the day."
 
Diamond launches own airline...
yeah right! Ni kama Richard Branson kuwa mmiliki wa shirika la ndege, credit card etc. Wanaojua wanajua kuwa kama ilivyokuwa kwa Branson ndio ilivyo kwa Diamond wao ni umbrella tu wenye mali zao wanajifunika. Anyway Hongera Diamond kupata slice ya keki nyengine kujizidishia utajiri na ufahari wako, big up!
 
Watambuzi wa watu wanaoweza kugusa jamii kwa upana walishaona uwezo alionao Diamond Platnumz kuwa mwanzilishi na CEO anayeweza kuendesha makampuni yake makubwa.

26 May 2017
Nairobi, Kenya

Diamond alipokaribishwa Chuo Kikuu cha Nairobi / University of Nairobi kuongea na wanafunzi waweze kuishi ndoto zao kubwa kupitia yeye

From Tandale to the rest of the World, Diamond Platnumz on his ambitions

 
yeah right! Ni kama Richard Branson kuwa mmiliki wa shirika la ndege, credit card etc. Wanaojua wanajua kuwa kama ilivyokuwa kwa Branson ndio ilivyo kwa Diamond wao ni umbrella tu wenye mali zao wanajifunika. Anyway Hongera Diamond kupata slice ya keki nyengine kujizidishia utajiri na ufahari wako, big up!
Ndivyo ilivyo!! Kuna vigogo wenyewe wamejificha nyuma yake wenye mali!! Ila Akiamua kuwadhurumu itakula kwao!! Kuna mtu mmoja alikuwa anajiita Lord Anthony huko Bukene-Nzega alikuwa meneja mkuu wa chama cha ushirika enzi hizo miaka ya 70 kilichokuwa bkinaitwa IGEMBE NSABO kilichojumuisha mikoa ya Tabora na Shinyanga. Kilikuwa ni chama tajiri sana!! Huyu Bwana alikuwa anafanya ufisadi na kununua Malori makubwa ya kusombea mazao halafu anayaandikisha kwa majina ya waarabu wa bukene! Mwisho wa siku walimdhurumu!! na akaishia kuwa maskini wa kutupa!!
 
Sasa mbona ni kama walikuwa wanapiga tu picha hapo.? Tena inaonekana ni Dubai... Bado hajafanya kitu, tumuone akiwa TCAA ndio tutaamini ameanzisha hilo shirika.
 
Back
Top Bottom