Mtanzania aanzisha shirika la ndege/ Diamond launches own airline

Mbona stori haijielezi kikamilifu?
Mfano, anaanza na airplanes gani, ukubwa gani, na ngapi?
 
Nadhani iyo ni video ya wimbo wake mpya airline
 
😂😂😂😂Ngoja yake Yale makabila yenye matajiri zaidi waje kugombana hapa kweny uzi.
 
Kwahiyo we unaamini? Mazuzu
 
Jambo la kheri sana: usafiri wa anga unahitaji ushindani ii kuwasaidia wasafiri kuwa na chaguo lao kulingana na bei:
 
Diamond kama diamond... Diamonds are forever! Big up sana Mond.. We always learn from the best[emoji818][emoji817][emoji818]
 
Aisee...
Imagine angetangaza hii wakati wa jiwe ,na vindege vyake....
Sipati picha....
 
Hivi ile ndege (chopper) tuliyoambiwa amenunua ilishafika?
 
Bila shaka utakua unamfahamu vizuri marehemu Louis Sazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…