X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,605
- 1,843
Kijana wa Kitanzania aliyefahamika kwa jina la Ali Ibraham, alimechomwa kisu na kupoteza maisha tarehe 27th December 2008
Marehemu anayekadiriwa kuwa na kati ya miaka 17 na 25 amekumbwa na mauti hayo ndani ya Hostel ya Sarsfield Inn kwenye mji wa Limerick Ireland.
Habari za kuaminika zinasema kwamba Mtanzania huyo alikumbwa na mauti hayo baada ya kutokea ugomvi kati yake na kijana wa ki'Morocco aliye julikana kwa jina la Farah Redouane mwenye umri wa miaka 21.
Mmorocco huyo amefunguliwa kesi ya mauaji na ataendelea kukaa remande mpaka tarehe 30th Jan 09, kesi yake itakapo sikilizwa tena.
Marehemu amezikwa kwenye makaburi yaliyoko Dublin siku ya tarehe 2nd Jan 09
M'Mungu ailaze roho ya marehemu Mahali Pema Peponi.
Hakika sisi ni wa M'Mungu Na kwake Ndio Marejeo.
Amin