Hio yake ilikua si ushukiwa wa ugaidi .... Hio yake ni ushukiwa wa kua mule, kuna jamaa wengi Sana wanashikwa pale JKIA wakiwa wame meza dawa za kulevya zikiwa ndani ya mfuko.... Au maranyengine badala ya kumeza huchukua huo mfuko na kuufilinyilia Kwa shimo la nyuma!!!!! Kwahivyo walipomwambia aende haja kubwa mbele Yao si eti walikua wanataka kum humiliate, walikua wanataka kuona sample ya kinyesi kama kutaanguka vifuko vilivyo jaa madawa, tumeshika wakenya, wakongo,wanaigeria,Burundi, Mozambique na mtindo huu, hata kuna video flani ya kamiti women max prison ilikua inaonyesha wa south Africa watatu wanaomba serekali Yao iwahamishe hadi jela ya south Africa ili wawe karibu na familia zao, pia hao walishikwa na mtindo huo huo wa kuketishwa mahali Hadi waende haja kubwa baada ya kushukiwa kua wanatumia miili Yao kusafirisha tembe za dawa za kulevya.......sikuhizi wameweka zile High resolution full body scan hapo JKIA kwahivyo si lazima uende haja kubwa tena, wanaweza Ku scan x-ray mwili nzima waangalie tumbo au collon kama kuna kitu umeficha ndani ya mwili.
Kila baada ya miezi miwili mitatu hua kunatokea story kama hizi....
Nigerian National was cabbed at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) on Sunday on suspicion of trafficking in narcotics.
Princess Okoye, 25, was intercepted as she prepared to board a flight destined for Italy.
According to Police, the woman had concealed the drugs in plastic bottles containing milk.
The woman was carrying 77 Pellets of suspected narcotics and later emitted an additional 15 pellets which she had swallowed.
511 people are talking about this
She remains under observation as investigations continue.
Her arrest comes just months after three foreigners on transit to China and India were arrested at JKIA in November on suspicion of trafficking in narcotics.
The police said one of the foreigners, a Tanzanian national, identified as Msafiri Musa, had concealed pellets of an undisclosed type of drug in his rectum to avoid detection.
Police added that the Tanzanian drug trafficker also emitted 69 Pellets which he had swallowed.