Mtanzania aingia fainali ya kuwa balozi wa jet magazine anahitaji kura 5,000 tu tumpigie please!!

Mtanzania aingia fainali ya kuwa balozi wa jet magazine anahitaji kura 5,000 tu tumpigie please!!

Sasa si uweke na jina lake hapa mkuu ili iwe rahisi..
 
Nipe # zake nimpongeze kwa hatua aliyofikia
 
e67356ce4849f3ef45669c9e1920e31a.jpg
 
Mbona siku hizi haya mambo ya kupiga kura yamezidi? Kuna nini? Hiyo magazine imeshindwa kumpata mtu hadi kutusumbua kupiga kura? Na huyu mtanzania alishawahi fanya nini cha kugusa maisha ya waTZ wenzake?
 
Huyu si ndio yule msanii wa music ambaye haishi nchini?jina lake limenitoka
 
Back
Top Bottom