peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ninakubaliana na wewe100%Hiyo taasisi heri ifutwe tu kila halmashauri ya kijiji iwe inaingiziwa pesa kutoka hazina moja kwa moja kutengeneza barabara zao
Umeongea pointi nzito sana, hii taasisi ya KITAPELI tu haina maana, serikali itume fedha moja kwa moja kwenye vijiji na vitongoji km inavyofanya kwenye shule za msingi na sekondari, wanavijiji waunde kamati tendaji zishughukike na barabara zaoHiyo taasisi heri ifutwe tu kila halmashauri ya kijiji iwe inaingiziwa pesa kutoka hazina moja kwa moja kutengeneza barabara zao
Wakifanya hivyo hakuna barabara ya mtaa wala kijiji itakayokuwa mbovu tena.Umeongea pointi nzito sana, hii taasisi ya KITAPELI tu haina maana, serikali itume fedha moja kwa moja kwenye vijiji na vitongoji km inavyofanya kwenye shule za msingi na sekondari, wanavijiji waunde kamati tendaji zishughukike na barabara zao