Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐ ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐ฎ๐น๐ถ๐๐ฒ๐๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ฎ๐ธ๐ถ๐น๐ถ ๐ฏ๐ฎ๐ป๐ฑ๐ถ๐ฎ ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ฑ๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ ๐๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ผ๐ป๐ฎ
Hakika Tanzania tunaendelea kuwa imara kwenye sekta ya Teknolojia Kila siku zinavyozidi kwenda vijana wengi wanaibuka na kuonyesha ushindani kwenye masoko ya Dunia.
Kutana na mtanzania aliyeunda Teknolojia ya akili bandia inaitwa Nobe AI Yenye uwezo wa kufanya kazi mbalimbali na kukupa majibu ya maswali mengi utayomuuliza kama Mwanadamu.
Anaitwa Noel Sebastian ni mtanzania akishirikiana timu yake ya Nobestudy waliweza kufanikiwa kuunda akili bandia jukwaa la kibinifu iiliyoundwa ili kutoa elimu na msaada kwa wanafunzi ulimwenguni kote.
Imeundwa kwa Teknolojia mpya inajulikana kama Zero Short Spiking huweza kusaidia kwenye kuunda mifumo ya akili bandia yenye uwezo wa hali ya juu inayoweza kubadilika kulingana na mazingira na mahitaji ya watu.
Angalia video yake ๐
Teknolojia hii huweza kumsaidia Mtu asiyeona kuweza kwenda mahali kupitia sauti atayosikia kwenye huo mfumo kupitia simu yako na kukusaidia kufika kwa usalama eneo unalokwenda.
Pia inawasaidia kwenye kusoma kubwa zaidi ni kumwambia Mtu asiyeona kuhusu hatari zilizopo mbele yake wakati anatembea.
Credit to: #TbcOne , #bongotech255