Mtanzania Joseph Simbu ashika nafasi ya tatu katika mashindano ya kimataifa ya raidha The International Association of Athletics Federations (IAAF) huko jijini London.
Simbu amepambana sana sana na kukaribia kushika nafasi ya pili
Mkuu tupe updateAlphonce Simbu...mbele yake Tola wa Ethiopia...mbele yao Mkenya Kirui anaongoza
Inawezekana hata GoldBado dakika kama kumi hivi...bado ana uwezo wa kushinda silver medal.
Usisite kutupa Updatenipo namfutilia hapaMungu amsaidie
Nipo mbali na Tv..nawafuatilia kwa ukaribu..Tupia hata pichaYuko mbali na Simbu