Uingereza walishangilia sana kupata nafasi ya nne,kwa sababu hawajawahi ipata sembuse sisi na medali tumepata.Kweli imefikia Tanzania tunashangilia medali shaba tumekua ni comoro daah kukosa mafanikio Kwa muda mrefu tumegeuka mafala
Sent using Jamii Forums mobile app
Taifa linatakiwa kuimvest kwenye michezo sio hadithi.Kama nchi kupitia wizara husika hatuna cha kujivunia kwakuwa kafika alipofika kwa juhudi zake binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Taifa linatakiwa kuimvest kwenye michezo sio hadithi.Kama nchi kupitia wizara husika hatuna cha kujivunia kwakuwa kafika alipofika kwa juhudi zake binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Taifa linatakiwa kuimvest kwenye michezo sio hadithi.Kama nchi kupitia wizara husika hatuna cha kujivunia kwakuwa kafika alipofika kwa juhudi zake binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli,RT wamefanya kazi sana chini ya Mtaka RC wa Simiyu,Gidabudayi etc.DSTV ndo wadhamini wake hata jezi zake zna nembo ya dstv.Kama nchi kupitia wizara husika hatuna cha kujivunia kwakuwa kafika alipofika kwa juhudi zake binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli,RT wamefanya kazi sana chini ya Mtaka RC wa Simiyu,Gidabudayi etc.DSTV ndo wadhamini wake hata jezi zake zna nembo ya dstv.Kama nchi kupitia wizara husika hatuna cha kujivunia kwakuwa kafika alipofika kwa juhudi zake binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukunielewa hebu niambie sera yetu ya michezo inasemaje? Je kama taifa tuna vision yoyote ? Let's say vision 2020?Siyo kweli,RT wamefanya kazi sana chini ya Mtaka RC wa Simiyu,Gidabudayi etc.DSTV ndo wadhamini wake hata jezi zake zna nembo ya dstv.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sikutaka kuongelea mambo ya sera na mipango ya nchi kwa ujumla,nilitaka kuonesha ni kwa namna gani nyuma Simbu kulifanyika jitihada flani.Kuhusu DSTV,ni mdhamini na hata hao wengine wanadhaminiwa na Nike,Puma nk kama dstv wapo kibiashara na hao wengine wako kibiashara.Hukunielewa hebu niambie sera yetu ya michezo inasemaje? Je kama taifa tuna vision yoyote ? Let's say vision 2020?
Je tuna camps na vyuo vingapi vya michezo? Je tuna maandalizi yoyote? Je Kama tungesema tununue bombadia mbili kwanza na pesa nyingine tuwekeze kwenye michezo ingekuwaje?
Kama taifa hatujaipa michezo umuhimu wala kipaumbele.... Hao DSTV wako kwa ajili ya maslahi yao kibiashara
Sent using Jamii Forums mobile app
More than 7 million dollars will be on offer in London. A total of US$ 7,344,000 in prize money will be paid by the IAAF in London as follows:
kidogokidogo tunawanyatiaHongera kwake Simbu na Tz kwa jumla. Wakenya tumezoea kushindana na hawa wazungu. Itakuwa freshi wanaE.A tukitoana kijasho sisi kwa sisi! Lakini wakenya hamtatuweza bana, tz bado sana kwenye riadha! Itabidi mapenzi yenu na chipsi mayai myatupilie kando kwanza! Hehe!
Atleast Jamaa kapata cha kufutia jasho nadhani hiyo ni motivation tosha kwa vijana wa kitanzania ambao wangependelea kuwa wanariadha jamaa anatuwakilisha vyema kabisaMore than 7 million dollars will be on offer in London. A total of US$ 7,344,000 in prize money will be paid by the IAAF in London as follows:
Individual Events
Gold: US$ 60,000.
Silver: US$ 30,000.
Bronze: US$ 20,000.
fourth place: US$ 15,000.
fifth place: US$ 10,000.
sixth place: US$ 6,000.
seventh place: US$ 5,000.
eighth place: US$ 4,000.
Relays (per team)
Gold: US$ 80,000.
Silver: US$ 40,000.
Bronze: US$ 20,000.
fourth place: US$ 16,000.
fifth place: US$ 12,000.
sixth place: US$ 8,000.
seventh place: US$ 6,000.
eighth place: US$ 4,000.
Unaweza kusoma zaidi hapo chini
World Record Award of US$ 100,000 on offer at IAAF World Championships in London - SportsNewsIRELAND
Tatizo ufadhili ukija wale akina Filbert Bay na genge lake wanazipiga halafu kwenye mashindano wanapeleka watu kwa kujuana mi nadhani ni muda muafaka sasa wale jamaa waondoke au bodi ile ivunjwe waletwe watu wapya ambao watakuwa wachapa kaziMafanikio ya Simbu ninavyoona hayajaja tu from nowhere. Multichoice walim spot mwaka jana na kuanza kumdhamini chini ya uongozi huu mpya wa MD mTanzania wa multichoice.
Kama utaweza kumfuatilia jamaa tangu aingie udhamini na multichoice amefanya vizuri mashindano karibu yote anayoshiriki. Naona kikubwa kwa hata wakimbiaji wengine ni jinsi ya kuwawezesha ili waweze kujiandaa vema kwa mashindano na si kusubiria "zimamoto" na pia kuwr na udhamini unakuwa wa kipindi kirefu(sio kipindi cha mashindano tu)
Sent using Jamii Forums mobile app