Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

Atleast Jamaa kapata cha kufutia jasho nadhani hiyo ni motivation tosha kwa vijana wa kitanzania ambao wangependelea kuwa wanariadha jamaa anatuwakilisha vyema kabisa
Alishinda Mumbai Marathoni ambayo mshindi alipewa $41,000 hio ni tzs 100m. Hii ya london $20,000 ambayo ni tzs 45m. Hard work pays.
 
Hawa wanariadha wa Tanzania wanajitoa sana ila tatizo kubwa ni Chama cha Riadha nchini ndio kimewatupa sanaa. Unafiki wanauonesha kwenye kuwaaga wanapokuwa wanakwenda mashindanoni. Hii nchi kuna watu wanatumia vibaya sana nafasi walizopewa.
 
Mimi nipo pamoja na ww ndugu, kile chama bana wamekifanya kama chao kila mwaka wapo wao tu kwenye uongozi na chamsingi hakuna mabadiliko wanayoyafanya zaidi ya Juhudi binafsi za mwanariadha.
 
Chama kimejaa waganga njaa na wababaishaji
 
Sio mbaya zitamtoa kiasi chake

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania imeibuka gafla katika kila idara,,,, huu ni muda sasa wa wale waliokuwa wanawaganganya wazungu wakati hatujajua kizungu, hatujajua kutembelea mitandao ya kijamii, hatushiriki mashindano mbali mbali ya kimataifa na kushinda,, kuwa eti mlima kilamanjaro, serengeti, diamondplatnums kuwa vyote vinapatikana kwao kuwa ni waongo kwani habari za Tanzania sasa zinaenea duniani kote exponentialy
 
huyu jamaaa alikuwa anaishi chumba kimoja arusha na mke wake alikuwa ni fundi saloon??? Kweli mwache jamaa ale tu jasho lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…