Huko hatutafutani mkuu, tunapigana vikumbo kwenye sehemu za maji ya rangi ya gold [emoji1]kama ukimtaka mtanzania anaeishi Tanzania tushtue mkuu tupo kibao
Ok good mkuu .Write your reply...niliwahi tembelea nerthelands ktk miji ya Zwolle, Maastricht, Haag, Rotterdam na Amsterdam kule starehe kubwa mno,baiskeli kwa sana
hahahaha. s a w. aHuko hatutafutani mkuu, tunapigana vikumbo kwenye sehemu za maji ya rangi ya gold [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee Franco utakuwa journalist... Si kwa kuzurura huku!Write your reply...niliwahi tembelea nerthelands ktk miji ya Zwolle, Maastricht, Haag, Rotterdam na Amsterdam kule starehe kubwa mno,baiskeli kwa sana
kawaida hiyo juz kati nimetoka Belgium