Mtanzania mmoja aitwae john,apata bahati ya kuwafundisha wazungu lugha ya kiswahili;hiyo imetokea baada ya kijana huyo kuwa na tabia ya kutembelea mitandao mbalimbali na ndipo katika mtandao mmoja alipokuta ,kuna nafasi ya mtu anaeweza kufundisha online,hadi sasa ana wanafunzi zaidi ya 42,wakiwa wanatokea nchi ya marekani ,korea na indonesia,hivyo bas kijana amekuwa akilipwa kiasi cha dola 5 ,per day.,waiongeleaje hii ajira ?