MTANzANIA APATA ZALI LA KUFUNDISHA KISWAHILI WAZUNGU ONLINE

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Mtanzania mmoja aitwae john,apata bahati ya kuwafundisha wazungu lugha ya kiswahili;hiyo imetokea baada ya kijana huyo kuwa na tabia ya kutembelea mitandao mbalimbali na ndipo katika mtandao mmoja alipokuta ,kuna nafasi ya mtu anaeweza kufundisha online,hadi sasa ana wanafunzi zaidi ya 42,wakiwa wanatokea nchi ya marekani ,korea na indonesia,hivyo bas kijana amekuwa akilipwa kiasi cha dola 5 ,per day.,waiongeleaje hii ajira ?
 

toa ushauri wowote ule utafanyiwa kazi.
 
Kama analipwa dola 5 tu bora aje huku mjini tumwage zege kwa siku anaondoka na ishirini elfu ya madafu!!
 
Malipo madogo mnooo ukilinganisha na jitihada alizofanya kutafuta kazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…