mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Mtanzania Andrew Thomas Mlugu {uzito wa 73kg} ashinda mpambano wa kwanza wa mchezo wa judo katika mashindano ya 33 ya olimpiki ya majira ya joto huko nchini paris baada ya kumtoa mpinzani wake William Tai Tin, kutoka nchini Samoa ambapo aliutawala mchezo mzima leo Julai29, 2024 .
Mlugu ndiye mwafrika wa kawanza kushindas mchezo huu katika awamu hii kati ya jumla ya waafrika wanne waliowahi kushiriki mchezo huo. akizungumza baada ya pambano hilo Mlugu amesema pamoja na kushinda mchezo huo, ameumia goti la lushoto. Hatahivyo amesema hatorudi nyuma bali ataendelea kupambana katika hatua inayofuata