Mtanzania atakupa umbea unaotoa ushahidi lakini hatakubali kukusaidia kutoa ushahidi huo mahakamani

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Watanzania ni watu waajabu sana atakupa taarifa in detail ya jambo lolote la kiuhalifu lililotokea lakini ukimuambia sasa naomba taarifa hizi ukanisaidie kuwa shahidi mahakamani hatakubali kwà uoga hii inaumiza sana.
 
Watu hawataki usumbufu,
We umesahau wakati tupo shule Unampa mtu pepa yako anaona kuna sehemu umekoseshwa yeye amepata..

Muombe sasa uchukue pepa yake uipeleke kwa Mwl kama reference.... uone kama atakupa ushirikiano..
 
Ana hisi na yeye atafungwa. Kesi ndogo tu watu wana run miaka miwili au mitatu.
 
Watanzania ni watu waajabu sana atakupa taarifa in detail ya jambo lolote la kiuhalifu lililotokea lakini ukimuambia sasa naomba taarifa hizi ukanisaidie kuwa shahidi mahakamani hatakubali kwà uoga hii inaumiza sana.
Ili akafe, kabisa uviamini vyombo vya dola vya ktz.Utasnichika ufe umekodoa macho.
 
Kwa maswali ya mawakili kuna muda hata wewe shahidi unaonekana mwongo tu, na wewe ulisikia pahala.
 
Tumeshakueleza hii ni nchi andhaa kanuni !
kuna visa vingi vya watoa ushaidi hapa Jf walivokumbwa navyo.
alafu tambua ukiwa shaidi wewe ni moja ya mtuhumiwa kwenye listi.
watu wanaogopa usumbufu sababu upelelezi wa bongo ni kuangalia nani
IMG_0313.jpg
 
Ukishapewa taarifa,mambo mengine we jiongeze

Ova
 
Watu hawataki usumbufu,
We umesahau wakati tupo shule Unampa mtu pepa yako anaona kuna sehemu umekoseshwa yeye amepata..

Muombe sasa uchukue pepa yake uipeleke kwa Mwl kama reference.... uone kama atakupa ushirikiano..
Hii imenikumbusha sekondari tumerudishiwa mitihan kupekuapekua jamaa yangu akagundua kuna swali mm nimepatishwa yeye kakoseshwa ikabid achukue pepa langu ampelekee ticha kumuonesha ticha akagundua alinipatisha kimokosa akapunguza maksi nilimmaindi
mshikaji kinoma
 
Back
Top Bottom