Mtanzania atishiwa kuuwawa Ireland

Mtanzania atishiwa kuuwawa Ireland

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Mtanzania mmoja aliyeolewa huko kaskazini mwa nchi ya Ireland amerikodi videonakieleza jinsi mumewe mzungu na polisi nchini humo wanavopanga kumuua. Katika video hiyo ameeleza jinsi anavopitia unyanyasaji na vitisho na mipango ya mumewake kutaka kumuua.

Kuna Balozi wa Tanzania pale London, apelekewe hiyo clip afanye kazi, ndio kazi zao huko Ulaya.

Tumewapa watu kazi na kuwaweka huko Ulaya wafanye kazi zetu na sio kukaa maofisi tu.
Balozi zetu nyingi zinaogopa, ni ngumu kuchukua hatua kulinda raia wake zaidi ya kukuacha uteseke au kukukandamiza

Japo nina hakika balozi aliyepo London ni balozi makini na atapata msaada

Balozi zetu nyingi ni shida
 
Wanapaswa kufanya kazi, tunalipa Kodi na kuwalipa mamilioni ya hela waishi vizuri na familia zao huko halafu wanalala tu.

Tunapaswa kuona dada anapatiwa suluhu ya tatizo lake, yeye Balozi anaweza kulink na serikali ya huko Ireland na Waziri wetu anapaswa immediately naye aingie kazini kwa kuwasiliana na Balozi wa Ireland hapa tupate majibu.
Yaani leo tu aipatapo hii clip Waziri anapaswa kuanza communication na ubalozi wa Ireland hapa.
 
Mtanzania mmoja aliyeolewa huko kaskazini mwa nchi ya Ireland amerikodi videonakieleza jinsi mumewe mzungu na polisi nchini humo wanavopanga kumuua. Katika video hiyo ameeleza jinsi anavopitia unyanyasaji na vitisho na mipango ya mumewake kutaka kumuua
Nchi za kikiristo wanafanya haya? Si tuaambiwa humu wazungu kwmaba wastarabu sana hawana mambo haya. haya mambo yapo arabuni tu. Kumbe ahata huko yapo. Mwambieni siku ya pili asikubali kuolewa na wazungu, atafute wanyakusa wenziwe.
 
Mtanzania mmoja aliyeolewa huko kaskazini mwa nchi ya Ireland amerikodi videonakieleza jinsi mumewe mzungu na polisi nchini humo wanavopanga kumuua. Katika video hiyo ameeleza jinsi anavopitia unyanyasaji na vitisho na mipango ya mumewake kutaka kumuua
Acheni kuchafua nchi za watu, kqmq ndoa imeisha, Rudi nyumbani,
Mambo ya wanawake kunyanyaswa hatq bongo yapo, kuna mwamba aliua akachoma na moto kabisa,
 
Acheni kuchafua nchi za watu, kqmq ndoa imeisha, Rudi nyumbani,
Mambo ya wanawake kunyanyaswa hatq bongo yapo, kuna mwamba aliua akachoma na moto kabisa,
Kwa sababu wazungu ndio unaandika haya kwa heshima kubwa, ingalikuwa warabuni ungalikunya humu kwa comment
 
Back
Top Bottom