mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Balozi zetu nyingi zinaogopa, ni ngumu kuchukua hatua kulinda raia wake zaidi ya kukuacha uteseke au kukukandamizaKuna Balozi wa Tanzania pale London, apelekewe hiyo clip afanye kazi, ndio kazi zao huko Ulaya.
Tumewapa watu kazi na kuwaweka huko Ulaya wafanye kazi zetu na sio kukaa maofisi tu.
Balozi zetu nyingi zinaogopa, ni ngumu kuchukua hatua kulinda raia wake zaidi ya kukuacha uteseke au kukukandamiza
Japo nina hakika balozi aliyepo London ni balozi makini na atapata msaada
Balozi zetu nyingi ni shida
Nchi za kikiristo wanafanya haya? Si tuaambiwa humu wazungu kwmaba wastarabu sana hawana mambo haya. haya mambo yapo arabuni tu. Kumbe ahata huko yapo. Mwambieni siku ya pili asikubali kuolewa na wazungu, atafute wanyakusa wenziwe.Mtanzania mmoja aliyeolewa huko kaskazini mwa nchi ya Ireland amerikodi videonakieleza jinsi mumewe mzungu na polisi nchini humo wanavopanga kumuua. Katika video hiyo ameeleza jinsi anavopitia unyanyasaji na vitisho na mipango ya mumewake kutaka kumuua
Acheni kuchafua nchi za watu, kqmq ndoa imeisha, Rudi nyumbani,Mtanzania mmoja aliyeolewa huko kaskazini mwa nchi ya Ireland amerikodi videonakieleza jinsi mumewe mzungu na polisi nchini humo wanavopanga kumuua. Katika video hiyo ameeleza jinsi anavopitia unyanyasaji na vitisho na mipango ya mumewake kutaka kumuua
Kwa sababu wazungu ndio unaandika haya kwa heshima kubwa, ingalikuwa warabuni ungalikunya humu kwa commentAcheni kuchafua nchi za watu, kqmq ndoa imeisha, Rudi nyumbani,
Mambo ya wanawake kunyanyaswa hatq bongo yapo, kuna mwamba aliua akachoma na moto kabisa,
shindwa pepoSokwe mweupe anapanga mauaji?