Mtanzania auawa kwa kupigwa risasi na Polisi wa Afrika ya Kusini

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
M-Tanzania Mkaazi wa Mjini Tanga auliwa kwa Kupigwa Risasi na Polisi wa Afrika ya kusini.



Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.




Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.
 
Wasouth wanasahau Tanzania ilivyokua front line kupigania uhuru wao , wapiganaji na wanaharakati wa kisouth walipata kimbilio huku

ila pia hilo ni fundisho kwa wabongo ni mara ngapi wabongo wamechomwa moto huko south makosa hayajulikani , pia kuuawa kama huyo janja .

Jamani tutulie nchini kwetu , tutafute hela huku huku.

Kazi tu kupeleka udaga na gold ndo mnajua , , kufeni sasa mtuache na Tanzania yetu
 
Inasikitisha sana,hivi kwenye scenario kama hizi balozi zetu huwa zinasaidia kweli?.
 
Inasikitisha sana,hivi kwenye scenario kama hizi balozi zetu huwa zinasaidia kweli?.
Balozi wetu ndy nuksi Namba Moja .

Hana msaada wowote Kwa watanzania
 
Jau sana ndani ya week waTz wa 4 wamefariki kwa kupigwa risasi . Mpaka sasa kuja machafuko baadhi ya maeneo kati ya watz na polisi
 

Hayo mambo ya frontline ni ya kale, vijana wa leo kule South wanahangaika hawana ajira nchi imetamalaki maufisadi na vurugu halafu wewe uwaambie mambo ya mlipigana frontline....
 
Huo ndo utabaki kua wimbo wa kila siku, kusaidia mtu haihalalishe mtu kufanya uhalifu, mbona sisi masikini wa kupindukia wakati tulio wasaidia wako vizuri huo ndo ujinga wa wabongo, Tanzania ndo inaongeza katika kanda ya africa ya kusini kua na watu wajinga wenye elimu duni.
 
Wasouth wameendelea wapii? Lengo la Madiba kuwabakisha makaburu inalijua ww.
Jivunie Tz yako ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…