Unajua sie wengine tumefunga,laiti kama mie ningekuwa moderator ningekufungia kwa kosa la kuwafuturisha wenzio.Lakini..............huyo binti... mie chichemi
Unajua sie wengine tumefunga,laiti kama mie ningekuwa moderator ningekufungia kwa kosa la kuwafuturisha wenzio.Lakini..............huyo binti... mie chichemi
Sidhani kama amewahi kuwa raia wa Tanzania. Hivi kuwa na damu ya mtanzania inakufanya mtanzania? Na mtanzania ni nani? Hivi mtanzania mwenye asili ya India akizaa na mhindi raia wa India uhindini huyo mtoto atakuwa mtanzania?
Angalia hii thread ilianzishwa lini.....Ebo!!!!
Huyu msichana alizaliwa Tanzania ila akakulia Sweden.