Mtanzania Benard Kamungo Aitwa Timu ya Taifa ya Marekani Kuelekea Michuano ya Olympics Paris 2024

Hata mimi namuunga mkono, anhebaki huku anheishia kulamishwa awe kada wa ccm.
 
Hata yeye ana akili. Mnataka ateseke kama ninyi mnavyoteseka Bongo!
 
Uraia wa mtu hutokana na alikozaliwa hautokani na uraia wa wazazi wake. Kama alizaliwa Tanzania, ana haki ya kuwa raia wa Tanzania. Wewe hujui mababu zako walitoka wapi ila unajua kuwa ulizaliwa Tanzania hivyo ni raia wa Tanzania. Wangoni wote ni Watanzania ingawa walitoka Afrika ya Kusini.
 
inategemea kama yeye anapenda kuwa mtanzania au ninyi mnamlazimisha. manake hapo tayari ana uraia wa asili wa congo na uraia wa kule alikokulia marekani anakoishi. kuna watu wengi sana hata hapa tanzania wana uraia pacha ila wanaficha, siku uraia pacha ukikubaliwa bongo ndio utajua kuwa uliishi na watu wenye uraia pacha wengi. hata hivyo, binafsi ningetamani yule dogo awe mbongo.
 

Duh! Kazaliwa 2022 na sasa anakimbiza gozi la kenge MSL! Haya ni maajabu makubwa sana maana ana mwaka mmoja tu tangu azaliwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…