Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
First world hawana time na tuvyeo twa hivyo ndio maana unaona wahamiaji wanabeba kwa urahisi.Katika tukio la kipekee linaloangazia nguvu ya uongozi wa wanawake na wahamiaji katika siasa za kimataifa, Faith Hewitt Kapilima, Mtanzania mwenye asili ya kabila la Wangoni kutoka Songea, amechaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya NNC nchini Uingereza kupitia chama cha kihafidhina cha Conservatives.
Safari yake ya kisiasa haikuwa rahisi. Faith alishiriki uchaguzi uliopita bila mafanikio, licha ya kuungwa mkono na viongozi wa juu wa chama chake, akiwemo Waziri na Mbunge wa eneo hilo. Hata hivyo, alikataa kukata tamaa. Kwa kutumia uzoefu wake binafsi, mafunzo kutoka jamii ya Wangoni, na maadili ya kujitolea, Faith aliendeleza harakati zake kwa kampeni iliyojikita katika ujumbe wa: “Listening, Campaigning, Delivering.”
Akitangaza ushindi wake mnamo Mei 3, 2025, Faith alisema:
“Kushindwa hakumaanishi mwisho. Ni hatua ya kujifunza na kukua. Kama binti kutoka Songea, najivunia kusimama mbele ya jamii kama mwakilishi, nikiwa na dhamira ya kusikiliza, kutetea na kutekeleza.”
Faith ameweka msukumo maalum katika ajenda za kijamii, ikiwa ni pamoja na huduma kwa watoto wenye ulemavu na upatikanaji wa huduma bora kwa jamii zilizopuuzwa kwa muda mrefu. Ushindi wake unaakisi mabadiliko chanya katika siasa za mitaa na msukumo wa chama cha Conservative kukuza uongozi jumuishi.
Faith Kapilima sasa anachukuliwa kama mfano hai wa uongozi wa mabadiliko—akitangaza kwa vitendo kwamba ndoto zinaweza kutimia, hata ukiwa mbali na nyumbani.
Unahisi udiwani ni deal Sana huko majuu? Hivyo ni vyeo vya wahamiaji kule ni first na smart world . Issue ya utawala Bora ndio msingi wa kila kitu.Katika tukio la kipekee linaloangazia nguvu ya uongozi wa wanawake na wahamiaji katika siasa za kimataifa, Faith Hewitt Kapilima, Mtanzania mwenye asili ya kabila la Wangoni kutoka Songea, amechaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya NNC nchini Uingereza kupitia chama cha kihafidhina cha Conservatives.
Safari yake ya kisiasa haikuwa rahisi. Faith alishiriki uchaguzi uliopita bila mafanikio, licha ya kuungwa mkono na viongozi wa juu wa chama chake, akiwemo Waziri na Mbunge wa eneo hilo. Hata hivyo, alikataa kukata tamaa. Kwa kutumia uzoefu wake binafsi, mafunzo kutoka jamii ya Wangoni, na maadili ya kujitolea, Faith aliendeleza harakati zake kwa kampeni iliyojikita katika ujumbe wa: “Listening, Campaigning, Delivering.”
Akitangaza ushindi wake mnamo Mei 3, 2025, Faith alisema:
“Kushindwa hakumaanishi mwisho. Ni hatua ya kujifunza na kukua. Kama binti kutoka Songea, najivunia kusimama mbele ya jamii kama mwakilishi, nikiwa na dhamira ya kusikiliza, kutetea na kutekeleza.”
Faith ameweka msukumo maalum katika ajenda za kijamii, ikiwa ni pamoja na huduma kwa watoto wenye ulemavu na upatikanaji wa huduma bora kwa jamii zilizopuuzwa kwa muda mrefu. Ushindi wake unaakisi mabadiliko chanya katika siasa za mitaa na msukumo wa chama cha Conservative kukuza uongozi jumuishi.
Faith Kapilima sasa anachukuliwa kama mfano hai wa uongozi wa mabadiliko—akitangaza kwa vitendo kwamba ndoto zinaweza kutimia, hata ukiwa mbali na nyumbani.
Weka picha tumuone.
Ila mama ameupiga mwingi kwa kufanikisha mtanzania kuwa diwani uingereza.
Hongera sana mama mitano tena.
Alisikika mlevi mmoja kutoka viunga vya lumumba akiongea.
Uraia pacha ni usenge.CCM hawataki URAIA PACHA hizo Ndio athari zake huyo ni mwingereza
Hizo ndiyo zetu..!! Kuna yule mchezaji wa mpira wa miguu, sijui wa Tanga, mambo yalikuwa hivihivi. Kuna yule mwanariadha, tuliendeleza hiliNi Mtanzania au ana asili ya ya Tanzania.
Maana bongo mtu akitoboa mbele huko, ndio tunaanzaga shobo! Mtanzania.. Mtanzania. 😁
Hongera sana mama .mama anaupigwa mwingi