Mtanzania Hilal Hemed Hilal ashinda mzunguko wa nne Olyimpics, ashindwa kuingia nusu fainali

Mtanzania Hilal Hemed Hilal ashinda mzunguko wa nne Olyimpics, ashindwa kuingia nusu fainali

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Habari wanaJF,

Kijana kutoka Tanzania Hilal Hemed Hilal ameshinda round ya nne ya mashindano ya kuogelea katika michuano ya Olimpiki yanayofanyika Brazil jijini Rio.

Hata hivyo hakufuzu hatua ya nusu fainali!
 
Kuna mizunguko mingapi hadi kumpata bingwa? Na je wakimaliza mzunguko wa nne wanaenda mzunguko wa ngapi
 
Habari wanaJF,

Kijana kutoka Tanzania Hilal Hemed Hilal emeshinda round ya nne ya mashindano ya kuogelea katika michuank ya Olimpiki yanayofanyika Brazil jijini Rio.
Mkuu ungesema hivi Hilal alipita kwenye mzunguko wa kwanza bahati mbaya kashika nafasi ya 42.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mkuu ungesema hivi Hilal alipita kwenye mzunguko wa kwanza bahati mbaya kashika nafasi ya 42.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ya 42
 
Hongera amejitahidi kama umri unamruhusu aongeze juhudi sio mwanzo mbaya.
 
Kajitahidi angalau kashika hata hiyo ya kwanza
Ila sisi kama nchi ni aibu yaani watu Milioni 45+ tumepeleka watu 7 tu
CCM ilaaniwe milele
 
ajiweke karibu na Bwana mmoja anajiita Phelps,walau aibe maujuzi kidogo...
 
Back
Top Bottom