Mkuu ungesema hivi Hilal alipita kwenye mzunguko wa kwanza bahati mbaya kashika nafasi ya 42.Habari wanaJF,
Kijana kutoka Tanzania Hilal Hemed Hilal emeshinda round ya nne ya mashindano ya kuogelea katika michuank ya Olimpiki yanayofanyika Brazil jijini Rio.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ya 42Mkuu ungesema hivi Hilal alipita kwenye mzunguko wa kwanza bahati mbaya kashika nafasi ya 42.
Umesikia?Mbona nimesikia kashindwa kuendelea?
Tumeng'ara vipi; kachukua Gold, Silver au Shaba?!
Na ife na kufaKajitahidi angalau kashika hata hiyo ya kwanza
Ila sisi kama nchi ni aibu yaani watu Milioni 45+ tumepeleka watu 7 tu
CCM ilaaniwe milele