Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Kwa nini wanatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye sheria?
Mtanzania kajibiwa;
Kwani walipomtuma Kitenge na Zembwela Dubai wale ni wana Sheria?
Au walipomtuma Msukuma class seven B aite waandishi wa habari kuelezea Dp wedi,kwani Msukuma ni mwanasheria?
Nchi kuna maigizo hata kwa vitu serious,Hivi sasa Watanzania wengi wana sema mkataba ni mbovu.
Ila kuna watu wanazunguka Tanzania nzima wanasema Watanzania wanapotoshwa!?
Wakuu wanasema Watanzania tuna kataa mkataba,kuna vyama vimehongwa,ila kuna watu walituonyesha zawadi walipotoka ofisi za Dp Wedi,haya tumekubali.😂😂