;hahaha ina maana Nakupenda..Bigonzo ina maana ya MAPENZI... muhaya halisi huyoHuyu ni Mhaya aliyeamua kutenganisha majina yake yaonekane kama jins lake koko na la babayake gonza, kumbe ni KOKUGONZA ikiwa ina maana kwamba upendo
Sema mumarekani mwenye asili ya kitanzania,sio mtanzania.kwani tanzania hamna sheria ya kuwana uraia wa nchi 2
Pia empire ya season ya 3 ilikwisha na huyo bi mdada hakuwepo.itakuwa empire yea msimu wa 4
wahaya katika ubora wao am proud to be the haya....Ile TV series inajulikanayo kama Empire Katika msimu huu ambao ni msimu wake wa 3 hatimae Mtanzania ambaye pia ni muimbaji aishiye Marekani katika jiji la Chicago dada yetu Kokugonza ameshiriki.
View attachment 335179
Koku anaonekana kwenye scene moja akimfundisha Hakeem kucheza piano. Na ijulikane kwamba Koku Gonza anakipaji cha kucheza Piano pia.
View attachment 335186
Koku Gonza akiwa na muigizaji mwenzie Hakeem.
Kama sijakosea anaitwa koku gonza Tabia ijukaAnaitwa Kokugonza Nani??
OkayKama sijakosea anaitwa koku gonza Tabia ijuka
mhhh empire season 3 imeisha ? wakat hata season 2 bado haijaisha.Sema mumarekani mwenye asili ya kitanzania,sio mtanzania.kwani tanzania hamna sheria ya kuwana uraia wa nchi 2
Pia empire ya season ya 3 ilikwisha na huyo bi mdada hakuwepo.itakuwa empire ya msimu wa 4
Mkuu utakuwa unahesabu session za kuoneshwa! Empire huwa inaanza late summer na inapofika winter, wanachukua break! Winter ikipita ( mwaka unakuwa umeshapinduka) wanaendelea walipoishia previous year for the same season. Kwahiyo bado tupo season 2!Sema mumarekani mwenye asili ya kitanzania,sio mtanzania.kwani tanzania hamna sheria ya kuwana uraia wa nchi 2
Pia empire ya season ya 3 ilikwisha na huyo bi mdada hakuwepo.itakuwa empire ya msimu wa 4
Huku kwetu empire imeishia season 2Sema mumarekani mwenye asili ya kitanzania,sio mtanzania.kwani tanzania hamna sheria ya kuwana uraia wa nchi 2
Pia empire ya season ya 3 ilikwisha na huyo bi mdada hakuwepo.itakuwa empire ya msimu wa 4