Mh! Kwakuwa hakuna simba na Yanga huko labda ataweza.Mtanzania kuchezesha AFCON.
Mwamuzi wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa waamuzi watakao chezesha michuano ya AFCON Inayo tarajiwa kuanza mwezi January
Mtanzania kuchezesha AFCON.