Wasisahau hakuna anae mzidi magoli timu ya taifa. 28kuna wapuuzi wamemlinganisha na Konde boy
Kama nani huyo?kuna wapuuzi wamemlinganisha na Konde boy
Kijiji chake ni utopolo sababu hao ndio waliomficha alipotakiwa kusajiliwa na timu kutoka sudaniNabii hatambuliki katika kijiji chake
Wewe ni utopolo haswaa..Kipi cha ajabu alichofanya huyo mwanautopolo Ngasa ambacho unaona konde boy haitawezekana kufanya?kuna wapuuzi wamemlinganisha na Konde boy
Nimeona pia utopolo inashika rekodi ya timu iliopigwa goli nyingi kwenye msimu mmoja wa mashindano.
Hongereni depotivo de utopolo fc.
Nakumbushia pia rekodi inayowezekana kwenye pitapita zake hakuiona.Hapa anazungumziwa Ngasa jifunze kwenda na mada iliyo mezani.
Umeona wapi hiyo!?Nimeona pia utopolo inashika rekodi ya timu iliopigwa goli nyingi kwenye msimu mmoja wa mashindano.
Hongereni depotivo de utopolo fc.
Kwenye link aliyoweka kwenye bandiko lake.Umeona wapi hiyo!?