TANZIA Mtanzania mwingine auawa kwa kuchomwa kisu nchini Afrika Kusini

Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

Senior Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
101
Reaction score
244
South Africa sio nchi ya Kuishi mtanzania tena maana sio salama kabisa Usiende South Africa ni Hatari watu wanatumia sana Visu.

Mtanzania huyu Anaitwa jumanne Ameuwawa Kwa Kuchomwa kisu nchini South Africa katika mji wa Slovo Cape Town chanzo mpaka sasa hakijulikani taarifa hii imetolewa na mmoja wa wana group Lao huko Facebook liitwalo mabaharia the sailors.

View attachment 2635019
 
Warudi nyumbani tupambane na tozo
 
Kifo hakikwepeki hata hapa Bongo utakufa tu siku ikifika.....Tunao ndugu zetu huko SA wanaishi kwa salama na amani miaka nenda rudi...usitishe watu wasiende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…