mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Wizara ya Afya ya Uganda imesema kuwa idadi ya wagonjwa wa corona nchini humo imefikia 101 kutoka wagonjwa 100.
Idadi hiyo imepanda baada ya Mtanzania mmoja ambaye ni Dereva wa Lori kutoka nchini Tanzania mwenye umri wa miaka 32 kubainika kuwa na Corona baada ya kupimwa.
Wizara hiyo imesema Dereva huyo aliingia Uganda kupitia mpaka wa Mtukula, Na pia imetoa taarifa ya wagonjwa waliopona corona nchini humo kuwa ni 55 na hakuna kifo kitokanacho na ugonjwa huo mpaka sasa.
--
Another Tanzanian truck driver has tested positive for coronavirus disease (COVID-19) in Uganda to increase the country's cases to 101. The 32-year-old who entered Uganda via the Mutukula border was the only positive case registered out of the 3,809 samples tested on Thursday. All the 718 community samples tested negative according to the ministry of Health.