Mtanzania na Wasomali wawili wapatikana na hatia ya mauaji ya kigaidi Garissa, Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hivi nini haswa kilisababisha huyu Mpare aache makande na ndizi kule Upareni asafiri hadi Somalia na kujiunga kwenye kundi la mashababi, kisha aje Kenya kuua wanafunzi kwenye chuo kikuu cha Garissa, haya sasa amepatikana na hatia, hivyo yeye na Wasomali hao wanasubiri hukumu, ambayo inawezekana wakatiwa kitanzi.
Upofu wa kidini ni kitu hatari sana...
Haya ndio muda muafaka wa ndugu zake kuja na kusema naye mambo ya mwisho ya kumuaga.
-----------------------------------

Mohammed Abikar, Hassan Edin Hassan and Tanzanian Rashid Charles Mberesero have been found guilty of carrying out the Garissa University College attack in 2015.

They will be sentenced on July 3.

The fourth suspect, Sahar Diriye, was acquitted.

The four suspects appeared before Milimani law courts chief magistrate Francis Andayi.
On April 2, 2015, al Shabaab militants descended attacked Garissa University College, killing 148 students.
The attack also left 83 people with serious injuries.
The National Intelligent Service and National Police were accused of not doing enough to prevent the attack.
The Office of Director of Public Prosecutions closed its file on the Garissa University attack case on April 2, 2019.
Four out of the five suspects were found to have a case to answer.
A total of 22 witnesses testified against them, including students who survived the attack.

HALAFU rekebisha heading. Maana waliohukumiwa ni waKenya na mTanzania mmoja.
 
Huyo mtanzania sidhani kama alikwenda kufanya ugaidi inawezekana watenda haki wa Kenya wamemsomba kimkumbo
 
Huyu bro walimkuta darini kwenye hiyo shule kule Garisa. Halafu alikuwa mwanafunzi kule Bihawana secondary Dodoma.
Wazani tunafikiri watoto wako shule, kumbe wanafanya ujinga. Labda walimdanganya kuhusu mabikira saba. Ona kilicho mpata sasa.
 
Huyo atakuwa Mtanzania wa tatu kufungwa Kenya in less than a month...kumbe hawa waTz ni magaidi zaidi hata kuliko Alshabab wenyewe!
 
Huyu bro walimkuta darini kwenye hiyo shule kule Garisa. Halafu alikuwa mwanafunzi kule Bihawana secondary Dodoma.
Wazani tunafikiri watoto wako shule, kumbe wanafanya ujinga. Labda walimdanganya kuhusu mabikira saba. Ona kilicho mpata sasa.

Ni ngumu japo hatu - judge kwa dini lakini kwa kuwa alshabaabu ndo walikubali kuhusika na hilo shambulio nashindwa kupata jibu hawa jamaa walifanyaje hiyo recruitment ya Rashid Charles Mberesero kwa kuangalia majina tu ni ngumu kwa kuwa statistics zinagoma. Kwenda darini ingewezekana kwa mtu yeyote kwa kuwa hali ya hatari wewe utachagua pa kujificha?
 
Jina na ugaidi wapi na wapi mkuu... Unamfahamu Samantha Lewthwaite? Wala hilo sio jina la 'dini' lakini mwanamke huyo ni gaidi.
 
"Rashid Charles Mberesero is a Tanzanian national who could not convincingly explain his presence in Garissa University on the fateful day. Upon his arrest he identified himself to the police as Rashid Dida and claimed that he was a student at the university but the lecturers rebuffed his claim. He later on changed his mind concerning has name and now identifies himself as Rashid Charles Mberesero."

Ni ngumu japo hatu - judge kwa dini lakini kwa kuwa alshabaabu ndo walikubali kuhusika na hilo shambulio nashindwa kupata jibu hawa jamaa walifanyaje hiyo recruitment ya Rashid Charles Mberesero kwa kuangalia majina tu ni ngumu kwa kuwa statistics zinagoma. Kwenda darini ingewezekana kwa mtu yeyote kwa kuwa hali ya hatari wewe utachagua pa kujificha?
Kwa akili zako unaona mtu anaweza kupatwa na hatia ya kosa kubwa la kigaidi kisa amejificha darini, hivi shuleni mnakwenda kusomea ujinga, fuatilia mkasa wote wa shambulizi la Garissa, uone jinsi huyo Mtanzania alikamatwa na vilipuzi mikononi akaogopa kujilipua kama wenzake.
Kwa ushirikiano wa usalama wa taifa wa Tanzania, taarifa za jamaa zilichimbwa tangu utotoni mpaka hapo alipo.....hivyo mtumie akili mnapomtetea, ifahamike watu waliuawa wengi kisa dini....hizi dini ni laana tupu, badala ya kuleta amani ndio chanzo cha mauaji na chuki...

Soma hizi taarifa hapa uone jamaa wenu alivyokamatwa na silaha https://alchetron.com/Garissa-University-College-attack
 
Back
Top Bottom