Tumia broker Hawa wa USA ambao wanakufikisha kwenye real market na sio kuwa unabet price fluctuations tu Bali unamiliki hisa zikishuka unaona value imeshuka Ila namba za hisa ni zile zile.
T broker hao walk watatu tu ambao ni
Td Ameritrade
Charles Schwab
E-Trade
Fidelity Investments.
Hawa wako regulated na mamlaka za USA na sio kuwa wao ni OTC Bali wanapasi orders zako to real market mkuu kabisa.
Na wewe ndiye unaye create demand and supply tunaye speculate kwenye huku CFd brokers.
Sema Sasa Ile initial investment yake utaipenda. Mana hawana leverage kubwa sana,mana huko USA walizikataa hizi Cfd company coz of large leverage ambayo Ina lead to large losses pia Cfd kampani ni OTC kwa Mana they don't pass your order to real market.
What you're doing when trading is contracting for future price difference of financial instruments.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.