Willima
Member
- Jul 27, 2022
- 26
- 39
Kama ilivyo kwa nchi jirani ambazo zina utaratibu wa kujulisha wananchi wao utaratibu wa utoaji wa mafao ya pension kwa Marais wao wastaafu, jambo ambalo ni tofauti kwa nchi ya Tanzania.
Kwa Tanzani pension ya Rais imekuwa ni siri ya Serikali. Kwa mfano nchi ya Kenya imewajulisha wananchi wake pensheni ya Rais Uhuru Kenyatta.
Kwa Tanzani pension ya Rais imekuwa ni siri ya Serikali. Kwa mfano nchi ya Kenya imewajulisha wananchi wake pensheni ya Rais Uhuru Kenyatta.
Swali linabaki, je wananchi wa Tanzania wanaweza kufahamu kuhusu pensheni ya Rais wao?