[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sio raisi tu, tunahaki ya kujua kuanzia yeye hadi watu wake wote.
Au mshahara na mafao ni siri kati ya bosi na mfanyakazi wake? Sema nini, sisi ndio mabosi wa hawa jamaa wakati wa kuomba kura..ila wakiwa madarakani sisi ni watumwa aao
Exactly inashangaza sanaSio raisi tu, tunahaki ya kujua kuanzia yeye hadi watu wake wote.
Au mshahara na mafao ni siri kati ya bosi na mfanyakazi wake? Sema nini, sisi ndio mabosi wa hawa jamaa wakati wa kuomba kura..ila wakiwa madarakani sisi ni watumwa aao
MAGUFULI Alituambia Eti Mshahara wake ni Milioni 9 mpaka leo nachekaKama ilivyo kwa nchi jirani ambazo zina utaratibu wa kujulisha wananchi wao utaratibu wa utoaji wa mafao ya pension kwa Marais wao wastaafu, jambo ambalo ni tofauti kwa nchi ya Tanzania.
Kwa Tanzani pension ya Rais imekuwa ni siri ya Serikali. Kwa mfano nchi ya Kenya imewajulisha wananchi wake pensheni ya Rais Uhuru Kenyatta.
Swali linabaki, je wananchi wa Tanzania wanaweza kufahamu kuhusu pensheni ya Rais wao?
View attachment 2311868
Hatujawahi kuwa maboss wao,wasingekuwa wanatupelekesha wanavyotaka na kututolea kauli chafu za dharau, sisi kwao ni watumwa waoSio raisi tu, tunahaki ya kujua kuanzia yeye hadi watu wake wote.
Au mshahara na mafao ni siri kati ya bosi na mfanyakazi wake? Sema nini, sisi ndio mabosi wa hawa jamaa wakati wa kuomba kura..ila wakiwa madarakani sisi ni watumwa aao
The issue is Kama watanzania tunafahamu pension ya rahisi sio kiwango cha pension, je serikali imeweka wazi pension ya maraisi wa Tanzania?Umekurupuka hujaja kisomi Zaid unekuja as if kwamb kila mtu anajuwa rate za exchange rate ya ksh vs dollars Sasa tulia andika vzr alfu uje ujumuishe kuwa total kwa mwak rais Kenyatta atabeba Kia's gani
Alf ikumbukwe kuwa hyu ndie rais tajiri sna baran Africa kwa sas
Weka za majirani zake woteKama ilivyo kwa nchi jirani ambazo zina utaratibu wa kujulisha wananchi wao utaratibu wa utoaji wa mafao ya pension kwa Marais wao wastaafu, jambo ambalo ni tofauti kwa nchi ya Tanzania.
Kwa Tanzani pension ya Rais imekuwa ni siri ya Serikali. Kwa mfano nchi ya Kenya imewajulisha wananchi wake pensheni ya Rais Uhuru Kenyatta.
Swali linabaki, je wananchi wa Tanzania wanaweza kufahamu kuhusu pensheni ya Rais wao?
View attachment 2311868
Umekurupuka hujaja kisomi Zaid unekuja as if kwamb kila mtu anajuwa rate za exchange rate ya ksh vs dollars Sasa tulia andika vzr alfu uje ujumuishe kuwa total kwa mwak rais Kenyatta atabeba Kia's gani
Alf ikumbukwe kuwa hyu ndie rais tajiri sna baran Africa kwa sas
Sema tu sisi Watanzania ni wavivu wa kusoma. Sheria ipo ingawa nayo imefumbafumba kwa kusema asilimia kadhaa ya mshahara wa Rais aliyeko madarakani. Haijaweka kiwango kama ilivyowekwa kwa Kenya. Kila kitu kwa idadi kimesemwa bila kuweka kiwango cha pesa! Sheria yenyewe inaitwa "The Political Service Retirement Benefits Act" [Cap. 225 R.E. 2015]The issue is Kama watanzania tunafahamu pension ya rahisi sio kiwango cha pension, je serikali imeweka wazi pension ya maraisi wa Tanzania?
KUNA WATU WANAKULA MAISHA AISEEKama ilivyo kwa nchi jirani ambazo zina utaratibu wa kujulisha wananchi wao utaratibu wa utoaji wa mafao ya pension kwa Marais wao wastaafu, jambo ambalo ni tofauti kwa nchi ya Tanzania.