Mtanzania usilie tena swala la ajira

Mtanzania usilie tena swala la ajira

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447

Attachments

  • BALAA-MC-SHEGUA.jpg
    BALAA-MC-SHEGUA.jpg
    77.8 KB · Views: 13
[emoji3]
Tungi?
Wakuu baada ya kuona threads nying sn za kutafuta ajira wacha niwavumbue wanajf wenzangu leo.

Mim ni muimba singeli na nakuhakikishia singeli inalipa vzur sn, ukiachana na viewers wa YouTube nakuhakkishia show zote za kitaa, vigodoro utakimbiza ww.

Usiseme kipaji huna singel haitak hayo mambo chakufanya kabla ya kwenda kurecod hakikisha upo tungi .

Nb. hakikisha huo mtaa upo peke yako ili kuepuka competition

Usidharau utaja nishukuru......View attachment 1847422

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shegua balaa huku mtaani

Singeli zinagonga viewers mpaka 2 million huko na huwasikii wakilumbana kuhusu youtube......
 
Back
Top Bottom