Mtanzania usitumike kama Condom, Condom ni muhimu during sexual intercourse na uchafu thereafter. Mafisadi watakutumia sasa kisha watakutosa wakishinda............ Nimeona niiweke hapa huu ni mtazamo wa rafiki yangu mmoja hivi alie ughaibuni sijui kama kuna ukweli wowote.....