Uchaguzi 2020 MTANZIKO CCM: Hivi watachagua CHAMA ama watachagua mtu?

Je haya yamo kwenye ilani ya chama? [emoji848][emoji2827][emoji3]
 
Hivi kwanini Chadema wameacha ile slogan ya "Pimpooz Chawaaa"?
Sasa hivi wana"ni yeye"ni yeye ndo nini sasa?
 
Nshana jr bana, ni kuulize bandari Mtwara haipanuliwi kuongeza uwezo wake? Barabara kusini hazi jengwi? Mizigo ya meli zitakazo tua hapo bandarini haiwezi kubebwa kwa kupitia barabara? Faida ya bandari iliyo ongezewa uwezo haiwezi kusaidi kujenga reli tajwa ili kuongezea ufanisi wa usafirishaji? Kipi kati ya reli na barabara kinagusa na kunufaisha watu wengi zaidi?
 
Nimelifurahia bandiko lako.
 
Mradi wa Dodoma Capital nje ya ilani ya chama ambapo pesa nyingi zinatumika kujenga miundo mbinu kwa maana ya majengo ya ofisi, barabara, stendi, kiwanja cha ndege, viwanja vya mpira nk.
 
Chama Dola
Kiko Kwenye Hali Tete Kutetea Madaraka, Hali Mbaya
Unaona Ilani Imetupwa Huko Wagombea Wanapigana Vijembe
 
Tangu 2015 alikuwa ana nadi sera za mtu sio za chama. 2020 ananadi sera za wanaomwabudu tuu sio za chama.
 
Nimezungumzia kilichomo kwenye ILANI ya chama dola 2015-2020 Je umeisoma?
 
Ma
Nimezungumzia kilichomo kwenye ILANI ya chama dola 2015-2020 Je umeisoma?

Hayati Mkapa alishasema ile ilani yake ya kwanza ya CCM kwenye awamu ya kwanza ya Urais wake ilikuwa haitekelezeki. Unajua kwa nini? Ilikuwa na mambo yaliyo ingizwa kwa hila na makusudi ya genge la supporters wa aliye kuwa rais wa awamu iliyokuwa inamaliza muda wake na kumpisha ili na yeye aupokee Urais. Mambo ambayo kiuhalisia hayatekelezeki kwa kipindi kifupi au hata kuwezekana. Fikiri unajenga reli kuiunganisha bandari ambayo ni ndogo na mchango wakwe ni kiduchu? Uache DSM yenye mchango mkubwa ili uhalalishe kujenga Bagamoyo ama?

Kusudi lao ni kumfanya the incumbent akose confidence watapo anza kuyatumia kama silaha ya dhidi yake kumblackmail kupenyeza matakwa yao.

Hata hili la reli kusini ulilotaja na la kutoa 50M kwa kila kijiji ni mbinu ileile ya kizamani katika dunia ya kisasa. Naomba sasa ni kuulize Nshana jr, wewe na waliokutuma mnayo agenda gani kwa CCM, serikali na JMP?
 
Anachofanya jamaa ni kutekeleza ndoto zake za utotoni wakati huo akiwa bado na damu kali ya kirundi.
 
Hata hili la reli kusini ulilotaja na la kutoa 50M kwa kila kijiji ni mbinu ileile ya kizamani katika dunia ya kisasa. Naomba sasa ni kuulize Nshana jr, wewe na waliokutuma mnayo agenda gani kwa CCM, serikali na JMP?[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]naomba ukipata muda unisaidie kujijibu tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…