Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Akizuiwa au akishughulikwa kwa nguvu kwa namna yoyote ile na mamlaka asizidi kueneza uzushi , uvumi na uongo kuhusu chanjo ya Corona itawaaminisha watu wengi zaidi kwamba kuna nia ovu nyuma ya chanjo na watu watageuka mazombi kweli wakichanjwa
Akiachwa aendelee kusambaza uzushi, uvumi na uongo wake juu ya chanjo watu wengi hawatachanjwa na ataonekana ni shujaa mpya wa kizazi hichi kuenzi legacy ya mwendazake.
Naona 'the powers that be' wakifanya naye compromise na suluhu azikatae chanjo lakini kwa lugha laini na nyepesi au 'ya heshima' kama wabongo wengi wanavyopenda kusema.Kesho itatupa majibu.