Mama asipomuua Gwajima atatuletea balaa jingine maana misukule yote ya hayati pombe iko matakoni mwa Gwajima
Nashauri njia ile ile iliyotumiwa kuwaondoa akina Kijazi itumike kumuondoa na huyu jingalao
Tutachanjwa tutake tusitakeNguvu kubwa itakayotumika kumziba mdomo gwajima,ndio itasababisha watu kukimbia 100% kuchanjwa na wasijitokeze hata kidogo.wacha nikwambie mtego ulipo.
Kwanza ugonjwa haujapokelewa kama upo,hili ni swala moja kabla ya kuikubali chanjo kuuzuia.
Pili chanjo hazitafanya kazi kama chanjo nyingine tulizozoea,yaani kuzuia maambukizi.hii ni kwa mujibu wa maelezo ya wataalam wenyewe waliotengeneza chanjo hizi.
Tatu,chanjo hii haiaminiki hata nchi za wenyewe,angalia marekani mpaka wadungwaji wanaahidiwa $100.
Nikukumbushe tu mletamada,hili swala sio siasa zetu zile.kwamba unatuma polisi,zitaibuka fujo kubwa sana.
Kama ni kibabe hamna shida,na hii itakuwa kwa matakwa yao sasa sio kwa faida zetu.Tutachanjwa tutake tusitake
Umeyapata wapi haya bwana mlozi
Tayari amewashawishi wale wanaoshangilia na kukenua meno kanisani kwake ambao anawaita ni familia yake.Amesha shawishi wangapi? Yaani sisi hatuna akili mpaka gwajima atushawishi!
Gwaji ataumbuka yu kwa sababu chanjo haitaua kama anavyodai.
Mitandaoni mkuuUmeyapata wapi haya bwana mlozi
Huwezi kusafiri bila kuchanjwaKama ni kibabe hamna shida,na hii itakuwa kwa matakwa yao sasa sio kwa faida zetu.
Vita vya kwanza vya Dunia baada ya kwisha tu kuna kitu kilitokea
Vita vya pili vya Dunia baada ya kwisha tu kuna kitu kilitokea
Corona nayo Ni janga la Dunia nayo ikiishi tu kuna kitu kitatokea???
Ndo maana wazazi wako walifanya mapenz akatokea shetan mwenye mwili wa mwanadamu kama weweTuondolee utopolo wako. Hata ukifanya mapenzi huwa kuna kitu kinatokea