Mtaongea yote, lakini sisi wa Guinea lazima tushinde

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Watanzania mkae muelewe Sisi kama wa Guinea lazima tushinde Leo, mtaongea yote lakini Sisi kama wananchi wa guinea tunaoishi Tanzania kikazi tunawapasua Leo.

Kumbukeni hii sio Guinea-Bissau au Guinea ya ikweta ya kina BALTASAR400, hii NI Guinea Conakry lazima mfe, golini Leo pale tunamuweka pinpin Camara, mbele kama kawaida streka fosi ya Dortmund guirassy, leo ni kipigo tu.

 
Yani Leo sio chini ya goli 2
 

Attachments

  • Screenshot_2024-11-19-08-57-53-203_com.instagram.android-edit.jpg
    412.2 KB · Views: 4
Mpira unadunda mzee wangu, dakika ni tisini unachezwa, lolote linaweza kutokea na hao guinea wakachezea kichapo
 
Mshinde msishinde lakini bado tulisha wakanda kimoja kwa hiyo mtakuwa mnalipa deni lenu.
 
Hakika mama anaupiga mwingi mpk sasa taifa starz mitano tena
 
Tuiombee Guinea ishinde maana kwa jinsi nilivyobet nikampa Guinea odds nyingi, endapo matokeo ninayotegemea yakawa tofauti, tutarajie hata panya na Mr. Kasongoyeye walioko mashimoni wataibuka na kuanza kuimba mapambio ya kumshukuru mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ