Mtarimbo wangu umelala DORO

Kwanza piga magoti muombe radhi mungu bila kumsahau mkeo!Kisha fanya yafuatayo:Nunua mdalasini,asali mbichi,mwarobai,arovela,kitunguu swaum na karanga kisha twangatwanga. Vichanganye pamoja kisha kunywa mafundo matata kila baada ya masaa sita kwa mda wa siku 5! Nakuhakikishia ni balaa! Hakikisha mkeo haendi mbali na anaweza kuhimili mziki wa angalau masaa matatu bila kutoka kifuani maana unaweza kubaka yeyote alie mbele yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…