KERO Mtaro imevunjika Mtaa wa Muhonda na Muheza Kariakoo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mdau dsm

Member
Joined
Jun 5, 2025
Posts
14
Reaction score
13
Juzi kati kuna mtaro ya maji machafu imekatika na kusababisha kudumbukia tayari za magari na hata watu wanaotembea na hata huleta harufu mbaya katika makazi na kuathiri afya za watu

Tunaiomba jamiiforums ipeleke kero hii kwa wahusika

Hapa ni mtaa wa muheza na muhonda kariakoo karibu na China plaza

 
Hii ni mbaya sana halafu bajeti ya safari za viongozi ni 1 trillion wakati kurekebisha hapo hata billion 1 haifiki.
Nchi imekosa vichwa vimebaki viwiliwili tu vinatembea 😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…