Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Huyu dada naona kaamua kutusaidia wale ambao Magamba bado yametufunika na hatuoni mateso yanayoendelea.
Kama unafikiiri Watashi hiyo haiwakumbi, basi angalia dada anaimba kwenye studio inayoenda kwa nguvu ya Betri la gari.....
Umeme wanatumia mishumaa na SIKIRINI za simu kama siku Yanga wanapewa kombe pale uwanjani.

Last edited by a moderator: